Posts

Showing posts from May, 2017

JINSI YA KU ROOT SIMU YAKO YA SMARTPHONE (ANDROID)

Image
Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadh i kumbukumbu za muhimu, burudani, biashara, nk. Haya yote hufanywa na Program ambazo huwekwa kwenye mfumo wa simu (Operating System). Programu hizo hubeba maaginzo maalum (Set of instructions) ambazo humwezesha mtumiaji kufanyia mambo mbalimbali kutegemea program hio. Mfano wa program muhimu kwenye simu ni kama vile Opera Mini (humwezesha mtumiaji kufungua kurasa mbalimbali za Intaneti), Calculator, nk. Program hizo huwekwa sio tu kwenye simu, bali hata vifaa vingine kama vile Computer. Mtumiaji wa Simu au Computer ndie anaeamua program ya kuweka kutegemeana na matumizi yake. Katika miongo michache iliopita zimetengenezwa program nyingi mpya na zenye maboresho makubwa na ya kisasa. Ubunifu uliopo katika program mbalimbali unaleta ukuaji katika Nyanja mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Program hizi pia zimeleta urahisi na ufanisi. Mfano Calculator, Saa, Vitabu Vitakatif

JINSI YA KU ACTIVATE WINDOWS

Image
Ninafahamu kuwa huu ni ugonjwa wa Computer nyingi sana, hasa zenye windows 8 pro, 8.1, 10 pamoja na wale wenye Windows 7.  Naomba nikwambie wazi tu kuwa huu ugonjwa unatibika, tena wale woote mliokuwa mkitumia Activator zenu zikawagomea kaeni mkao wa kula. Kama kawaida unapata package kamili kabisa kupitia link nitakayotoa pale tu utakapohitaji kuitumia. Uzuri wa hii Activator ni kwamba; Kwa wenye windows 8 au 8.1 au windows 10 ni kugusa tu kwa hatua 3 inakuwa ishaactivate. Kwa wenye windows 7, ili iweze kufanya kazi ni lazima kwanza uinstall kitu kinachoitwa “Microsoft Net Framework 4 au 4.5” halafu baada ya hapo unakigusa mara 3 unamaliza kazi. Kama huwa unaMicrosoft Office yeyote iwe 2007/2010/2013/2016 halafu huwa inakusumbua kwa vijimessage vya kuweka keys, mara trial nunua nyingine, mara oooh, basi dawa yake ni hii hapa nakupa leo, hii activator inauwezo mkubwa sana, utaelewa zaidi wakati nikieleza namna yakuitumia. Matumizi na namna ya kuinstall; Utadownl

JINSI YA KU-UNLOCK TECNO Y3+

Image
Habari za wakati mwingine ndugu msomaji wangu leo tuendelee kuambukizana ujuzi wenye manufaa, leo tuchungulie upande wa ku-unlock wagiftishe tecno Y3+ Mazingatio ndio manufaa yako katika makala hii twende sawa Mahitaji: 1. TECNO Y3+ 2. INTERNET BUNDLE (Just 2mb) Fanya yafutayo. 1. Kwenye hiyo simu ambayo unahitaji kui-unlock ingia PLAYSTORE,kisha Install MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT. 2. Ukishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering, 3. Itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY 4. Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK Kisha chagua hapo kwenye neno SIMME LOCK au SIM LOCK 5. Ukimaliza Hatua 4 utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo kisha utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK , 6. Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes , tumia namba hizi 12345678 7. Ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona neno hili PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo. 8. Restart simu yako na mpaka

JINSI YA KUJIFUNZA UDEREVA WA MAGARI

Image
SEASON 2 LIJUE GARI LAKO. Mfumo wagea Gea za Gari za aina mbali mbalizenye kutumia mfumo wa Manyo ( Manual) Mfumo wa gea za kukanyaga katika magari manyo CLUTCH  ;            Kazi yake ni kuondoa gari  na kutenganisha Engine na Gearbox. BRAKE   ;              Kazi yake ni kupunguza mwendo na kusimamisha gari ACCELERATOR ; Kazi yake ni kuongeza mwendo kasi wa gari na muungurumo na inapoachiwa kidogo mwendo hupungua, inaongeza kasi ya uhcomwaji wa mafuta. Ni Muhimu Kukumbuka kuwa Unapotaka kusimama unatakiwaq kukanyaga Clutch na Brake kwa pamoja ili gari lisizime linaposimama. Kazi ya gea namba moja Ni kuondoa gari na kupanda mlima mkali  na wakati wa kuteremka mlima mkali Kazi ya gea namba mbili Ni kuifanya gari kuwa nyepesi zaidi na kuongeza mwendo Kazi ya gea namba tatu na nne Ni kufanya gari kuendelea kuwa jepesi zaidi na kuongeza mwendo Namna ya kupanga gea kutoka gea nzito kwenda gea nyepesi; Kutoka          0-10    MPH Gea

JINSI YA KUJIFUNZ UDEREVA

Image
JINSI YA KUJIFUNZA UDEREVA WA MAGARI SEASON 1 VIPENGELE VYA UDEREVA VYA KUJIHAMI. Ili kutekeleza kanuni ya kuzuia ajali, Dereva yeyote anatakiwa kuelewa vizuri mambo ya msingi yafuatayo;- 1.         Kujua 2.         Kuwa macho 3.         Kuangalia mbele 4.         Kuamua 5.         Ujuzi wa kugundua , hatari kwa haraka KUJUA Dereva anapaswa kuelewa michoro na alama za barabarani. i.                       Alama za barabarani na michoro inawakilisha lugha, ambayo kila mtumiaji wa barabara anatakiwa kuijua vizuri, kuiheshimu na kuitafasiri kama inavyotakiwa. ii.                     Kwa bahati nzuri inawakilishwa na vbitambulisho vya vikundi vikuu vitatu a.         Rangi Nyekundu, Nyeusi, uhNjano, Nyeupe, bluu, kijani. b.        Umbile Mviringo, Pembe tatu, Pembe nne na pembe tano. c.         Alama – Maandishi, Picha na Michoro. iii.                    Alama na michoro ya barabarani ni lazima ziwe na sifa zifuatazo. a.         Zilenge ku