Posts

Showing posts from December, 2017

Mfumo wa Upoozaji Engine ya Gari. (Car Cooling System)

Image
Gari ni chombo ambacho kinahusisha mifumo mbalimbali muhimu katika ufanikishaji wa kazi yake. Ni kama vile binadamu alivyo na mifumo katika mwili wake kwamfanokwabinadamukuna mifumo mingi kama vile Mfumo wa chakula, Mfumo wa damu, na mfumo wa utoaji taka mwilini. Hivyo kwa kuanza kuchambua mifumo mbali mbali kati gari, leo tuanze kuchambuamfumo wa upoozaji, kwa kiingereza unaitwa cooling system. Mfumo wa upoozaji ni mfumo muhimu sana katika gari kwasababu utendaji kazi wa injini katika hiyo gari unazalisha joto kila inapofanya kazi, hivyo yahitaji kupoozwa kwa wakati kuepusha madhara. Aina za mifumo ya upoozaji wa injini katika gari – Kuna aina mbili za upoozaji wa injini katika gari kama ifuatavyo: Upoozaji wa maji (water cooling system) Hii ni aina ya upoozaji wa injini kwa kutumia vifaa mbalimbali vinavyohusishwa katika mfumo wa upoozaji unaotumia maji. Katika mfumo huu umeundwa na vifaa vifuatavyo. REJETA Hiki ni kifaa muhimu katika mfumo wa upoozaji injini wa maji kinachotu

UMEME WA MAGARI

Image
Umeme wa magari ni umeme unaotumika katika gari lako. Kwenye magari kitu kinachofua au kuzalisha umeme ni betri (well cell). Ambacho ni kifaa kinachobadili chemical energy (nguvu ya madawa)ambazo zinaitwa electrolyte, hii electrolyte ni mchanganyiko kati ya distill water na surphuric na kuwa nishati ya umeme.System ya umeme katika gari Umeme unaanzia kwenye betri na kusambazwa katika mifumo tofauti ya umeme kwenye gari kama lighting system, ignition system, starting system, na charging system Mfumo wa kuchaji (Chaging system) Hii hufanywa na kifaa ambacho kinachozalisha umeme kwenye magari ambacho ni aotonetor ambayo ni AC generator. Pia mi kifaa kinachobadili nguvu ya mekanikali kuwa nishati ya umeme kwa lengo la kuchaji betri Mfumo wa taa (lighting system) Huu ni mfumo ambao upo katika gari. Mfumo huu huwa na sakiti mbali mbali za taa tofauti tofauti kwa ajili ya mwanga na maelekezo (indication) mbali mbali.Mfumo wa kuwasha gari (Starting circuit) Huu ni mfumo uliopo katika ga

SOMO JUU YA MAANA YA “CHIP” KWENYE KOMPYUTA

Image
“Chip” ni kipande kidogo kinachofanya muunganiko wa sehemu mbalimbali za Kompyuta ambacho kimezungukwa/kimeundwa na Saketi mbalimbali, Kipande hiki mar azote ki[po kwenye mfumo wa “Silcon”. Chip ziko na ukubwa chini ya inchi moja ya mraba. Chip imezungukwa na maelfu ya “transistor” za kielectronic.  “Chip” hizo zimejishiza kwenye Ubao Mama (Motherboard/printed circuit boards),uwepo wa Chip hizo husaidia sana Kuendesha mfumo mzima wa Kompyuta kwa ujumla. “Chip”ndiyo imebeba mfumo mzima wa umeme kwenye Kompyuta, hapa tunazungumzia pia  uwepo wa “processor” au “graphics chip”. Katika Dunia hii zipo kampuni mbalimbali ambazo zinatenegeza “chip” mbalimbali ambazo ni kama ifuatavyo; -Intel 48.7, Samsung 28.6, TI 14, Toshiba 12.7, Renesas 10.6, Qualcomm 10.2, ST 9.7, Hynix 9.3, MicBroadcom 7.2, Broadcom 7.2 Zipo “chip” mbalimbali zinazounda mfumo mzima wa Ubao mama kwenye Kompyuta. 1. RAM RAM ni kichocheo muhimu sana katika utendaji mzima wa Kompyuta, mara nyingi hufanya kazi kama kibar

DIESEL ENGINES VS GASOLINE ENGINES

Image
Diesel Engines vs. Gasoline Engines In theory, diesel engines and gasoline engines are quite similar. They are both  internal combus­tion engines  designed to convert the chemical energy available in fuel into mechanical energy. This mechanical energy moves pistons up and down inside cylinders. The pistons are connected to a crankshaft, and the up-and-down motion of the pistons, known as linear motion, creates the rotary motion needed to turn the wheels of a car forward. Both diesel engines and gasoline engines covert fuel into energy through a series of small explosions or combustions. The major difference between diesel and gasoline is the way these explosions happen. In a gasoline engine, fuel is mixed with air, compressed by pistons and ignited by sparks from spark plugs. In a diesel engine, however, the air is compressed first, and then the fuel is injected. Because air heats up when it's compressed, the fuel ignites. The diesel engine uses a four-stroke combustion cycle j

AUDIO: Obby Boy Classic NICHEKE

Image
Ngoma mpya kutoka kwa obby boy classic , msanii chipukizi mwenye uwezo wake. Download hapo chini kusikiliza ngoma yake ya NICHEKE. DOWNLOAD