UMEME WA MAGARI
Umeme wa magari ni umeme unaotumika katika gari lako.
Kwenye magari kitu kinachofua au kuzalisha umeme ni betri (well cell). Ambacho ni kifaa kinachobadili chemical energy (nguvu ya madawa)ambazo zinaitwa electrolyte, hii electrolyte ni mchanganyiko kati ya distill water na surphuric na kuwa nishati ya umeme.System ya umeme katika gari
Umeme unaanzia kwenye betri na kusambazwa katika mifumo tofauti ya umeme kwenye gari kama lighting system, ignition system, starting system, na charging system
Mfumo wa kuchaji (Chaging system)
Hii hufanywa na kifaa ambacho kinachozalisha umeme kwenye magari ambacho ni aotonetor ambayo ni AC generator. Pia mi kifaa kinachobadili nguvu ya mekanikali kuwa nishati ya umeme kwa lengo la kuchaji betri
Mfumo wa taa (lighting system)
Huu ni mfumo ambao upo katika gari. Mfumo huu huwa na sakiti mbali mbali za taa tofauti tofauti kwa ajili ya mwanga na maelekezo (indication) mbali mbali.Mfumo wa kuwasha gari (Starting circuit)
Huu ni mfumo uliopo katika gari amabao hufanya kazi ya kuanzisha gari kwa kutumua kifaa kiitwacho ( Stater Motor ) ambacho kazi yake ni mzunguko wa engine. (Engine rotation).
Mfumo wa ignation (ignation system)
Huu ni mfumo unaowezesha kukuza kutoka 12volts mpaka 18000 volts ili kusaidia kurushwa kwa cheche kwenye spark plug
Umeme wa magari unaundwa na vitu gani?
Umeme wa magari una vitu kama
Betri –Hiki ni kifaa kinachobadili nguvu ya kemikali kuwa nguvu ya umeme ambayo ndio chanzo cha umeme katika gari.Stata Box- Hii huanzisha mzunguko wa injini kw akupokea umeme moja kwa moja kutoka kwenye betriContol Box- Hiki ni mfumo wa komputa ambayo hupokea taarifa kutoka kwenye senseAltanetor- Hiki ni moja wapo wa vifaa katika mfumo ambacho kinachaji betriFuse box- Hichi ni kifaa ambacho kinakusanya tuzi mbalimbali katika gari ambapo fuzi hizo hulinda sakiti na shotiSwitchi- Hivi ni vifaa ambavyo huruhusu au kutokuruhusu umeme kupita katika sakiti kwa mfano ignition circuitStarter Motor- Kazi yake ni kuanzisha mzunguko wa injini (engine rotation)Fuzi Box- Hiki ni kiafaa ambacho kimebebea fuzi za sakiti mbalimbali za umeme.Aina za taa katika gari na kazi zakeHead Lamp- Hizi ni taa katika gari amabazo hutumika kumulika wakati wa giza, kuna aina mbili za mwanga katika hii taa amabazo ni High Beam yenye mwanga mkali na (Low beam) yenye mwanga mdogo .Indicator Lamp- Hii husaidia kumuonyesha mtumiaji wa gari upande anao elekea hasa wakati anapokata konaInterior Lamp- Hizi ni taa ambazo zinakuwa ndani ya gari kuleta mwanga ndani pindi mtumiaji wa gari anapouhitajiDash board Lamp – Hizi ni taa mabazo zipo katika dashboard na husaidia kuonyesha alama zote katika dash bodiBreak Lamp- Hizi ni taa amabazo husaidia kutoa taarika kwa mtumiaji mwingine wa gari kwamb gari linataka kusismamaPack Lamp- Hizi ni taa amabzo mara nyingi huwa zinashea na break lamp ambazo huwa na double filament na huwa ma mwanga hafifu.Reverse Light- Hizi ni aina za taa mabazo hutumika kuonyesha kwamba gari inarudi nyumaPlate Number light- Hii ni ainaya taa ambayo hutumika kuona namba za usajiri za gari wakati wa usiku.Dash board na saini zakeIndicator Sign
Hizi ni saini ambazo zinamjulisha dereva kuwa amewasha indiketa ya upande upi
Altenator Warning Light
Hii inasaidia kuonyesha kama kwenye autoneta kuna tatizo na kwamba haichaji betri
Injini Check Light
Hii hutoa taarifa kwa erdva kwamba kwenye injini kuna matatizo
Engine Gauge
Hii husaidia kutoa taarifa kama kwenye injini kunamatatizo.
Speed Meter
Hii husaidi kumuonyesha dereva spidi ya gari
Alama ya kufunga mkanda
Hii ni alama inayowaka ili kumtaarifu dereva kwamba kuna siti amabayo abiria hajafunga mkanda.
Saini Ya milango
Hii ni saini ambayo huonyesha kama kuna milango amabyo haijalokiwa. A mbapo ukiloki unakuwa ume disconnect ilea lama ina zima katika dashbodi.
Vifaa vinavyotumika kupima umemeDiagnosis
Hiki ni kifaa kinachotumika kuangalia na kutambua matatizo mbalimbali katika gari bila hata ya kufungua vifaa, na pia mashine hii inauwezo wa ku rekebisha baadhi ya matatizo na kukupa code zinazoweza kukurahisishia kutatua tatizo bila ya kuumiza kichwa kwa kufikiria.
Tester
Hiki ni kifaa kinachotumika kupima mwenendo wa umeme. Pia inaweza kukurahisishia kujua kama umeme unafika mahali flani au lah.
Volte Meter
Hiki ji kifaa kinachotumika kupima volteji yani presha inayosukuma umeme.
OHM’S Meter
Hiki ni kifaa kinachotumika kupima ukinzani katika gari yani rezistensi
Ampere Mita
Ni kifaa kinachotumika kupima mzunguko wa umeme
Battery Tester
Hii husaidia kupima kama gari linachaji na kama imekufa au nzima
Vifaa vinavvyotumia Umemem katika gariRadioHoniSaiti MiraWaipaPower WindowLampsEarth Katika gari ina kazi gani?
Inatumika kukamilisha sakinti na inafungwa katika bodi
Natural Wire NI NINI?
Huu ni waya ambao unakuwa sio hasi wala sio chanyayaani haujabeba umeme
Red wire ni ipi?
Huu ni waya unaotumika kupeleka moto kutoka kwenye betri na ni waya chanya.
Sababu za gari kutokujichajiRegulator kuto ku zuia umeme vizuriKuisha kwa brashiKuharibika kwa diodesSakiti iliyo wazi katika stator winding (stata coil)Ignition switch
Hii ni switch ambayo huruhusu umeme kutoka kwenye betri kwenda katoka sakiti tofauti tofauti
Stator Motor
Ni kifaa kinachoanzisha mzunguko wa injini ambapopinion inaenda kushikana na meno ya wheel
Distributor
Inagawanya umeme katika kila spark plug ili kufanya milipuko katika combination chamber
Spark Plug
Hiki ni kifaa kinachopokea umeme kutoka kwenye distributer na kupeleka katikaa conversion chamber.
Transistor
Hutumika kama switch alter vile vile hutumika kukontrol voltage ambayo ndani yake kuna rezista.
Power Vindow
Hii hutumia mota ambayo inaweza kupandisha vioo juu na kushusha chini
Wipers
Nazo vile vile hutumia mota ambayo inawezesha ku move kwa hizo wiper
Relay
Hii ni eletro magnetic switch ambayo inapunguza ukinzani katika sakiti
Altenator
Hii hufanya kazi ya kuchaji betri
Ignation coil
Huu hutumika kurusha cheche ambazo huongeza voltage
ALAMA KATIKA GARI
Alama yenyewe inakuwa inalia; Sytem yake ni kwamba ina sensi mguso kwamba kuna mtu kagusa gari na vile vile alamu inakuwa imesetiwa.
Nahitaji kujifunza zaid
ReplyDeleteNini husababisha mwanga wa taa za gari kuwa hafifu.Gari yangu inatatizo hilo.
ReplyDeleteZipo sababu kubwa mbili
Delete1.waya kuongeza ukinzani kutokana na kukatika au
2. Kutu sehemu ya taa
Kitu gani gari kuzima gafla wakati ukiwa safari
DeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletenipatie namba yako ya simu
ReplyDeleteNahitaji kujifunza zaid
ReplyDelete