JINSI YA KU ACTIVATE WINDOWS


Ninafahamu kuwa huu ni ugonjwa wa Computer nyingi sana, hasa zenye windows 8 pro, 8.1, 10 pamoja na wale wenye Windows 7.  Naomba nikwambie wazi tu kuwa huu ugonjwa unatibika, tena wale woote mliokuwa mkitumia Activator zenu zikawagomea kaeni mkao wa kula.
Kama kawaida unapata package kamili kabisa kupitia link nitakayotoa pale tu utakapohitaji kuitumia.
Uzuri wa hii Activator ni kwamba;
  1. Kwa wenye windows 8 au 8.1 au windows 10 ni kugusa tu kwa hatua 3 inakuwa ishaactivate.
  2. Kwa wenye windows 7, ili iweze kufanya kazi ni lazima kwanza uinstall kitu kinachoitwa “Microsoft Net Framework 4 au 4.5” halafu baada ya hapo unakigusa mara 3 unamaliza kazi.
  3. Kama huwa unaMicrosoft Office yeyote iwe 2007/2010/2013/2016 halafu huwa inakusumbua kwa vijimessage vya kuweka keys, mara trial nunua nyingine, mara oooh, basi dawa yake ni hii hapa nakupa leo, hii activator inauwezo mkubwa sana, utaelewa zaidi wakati nikieleza namna yakuitumia.
Matumizi na namna ya kuinstall;
  1. Utadownload kama kawaida kupitia link niliyotoa hapo chini, kisha kabla haujafanya kitu unapaswa kufunga kwanza Antivirus unayotumia kwa muda, yaani disable antivirus protection temporary ili ufanye kazi kwa usalama zaidi.
  2. Utafungua folder kwa ku_unzip kama kawaida
  3. Utakuta program/activator imeandikwa “Activate MS Products” idouble click kwa maana nyingine install.
  4. Kama kawaida itaomba password, usihangaike, jaza “maxitclub” bila alama za fungua na funga semi.
  5. Hapa kuna kitu kitatokea kinaitwa “User account control service dialog box” itakuuliza kama kweli unataka kuinstall, basi usihangaike, click “ok”
  6. Inabidi usubiri kama sekunde kadhaa, usikate tamaa mpaka kitokee, huwa kinatabia ya kuchelewa kidogo.
  7. Basi kikitokea bofya sehemu imeandikwa “Accept”
  8. Kisha kitakupeleka kwenye eneo la kazi, hapo utaona products zote za Microsoft ambazo zimo ktk Computer yako kwa maana ya MS OFFICE, MS WINDOWS, nakadhalika, na kama haijakuwa activated utaona imewekewa alama ya kosa kwa rangi nyekundu, sasa basi unatakiwa kuchagua zinazotakiwa kuactivatiwa kwa kupiga tiki kibox kilicho pembeni ya hiyo product, kama ni window basi ichague.
  9. Kisha bonyeza sehemu imeandikwa “Activate” halafu subiri hadi ile kosa nyekundu iwe vema ya kijani na mwisho kabisa;
  10. Kikimaliza kazi kifunge na uendelee na mambo mengine, kazi imekwisha.
Mjuze kijana mwenzako anaependa Computer kuwa mambo mazuri yapo hapa tu tena kwa lugha yetu.
Kwa wale wa windows 7 inabidi niwape maelekezo juu ya namna ya kuinstall hiyo “Microsoft Net Framework”
Tumia link hii kudownload software hii;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD SOFTWARE HII

Comments

Popular posts from this blog

UMEME WA MAGARI

Mfumo wa Upoozaji Engine ya Gari. (Car Cooling System)

JINSI YA KUJIFUNZA UDEREVA WA MAGARI