Umeme wa magari ni umeme unaotumika katika gari lako. Kwenye magari kitu kinachofua au kuzalisha umeme ni betri (well cell). Ambacho ni kifaa kinachobadili chemical energy (nguvu ya madawa)ambazo zinaitwa electrolyte, hii electrolyte ni mchanganyiko kati ya distill water na surphuric na kuwa nishati ya umeme.System ya umeme katika gari Umeme unaanzia kwenye betri na kusambazwa katika mifumo tofauti ya umeme kwenye gari kama lighting system, ignition system, starting system, na charging system Mfumo wa kuchaji (Chaging system) Hii hufanywa na kifaa ambacho kinachozalisha umeme kwenye magari ambacho ni aotonetor ambayo ni AC generator. Pia mi kifaa kinachobadili nguvu ya mekanikali kuwa nishati ya umeme kwa lengo la kuchaji betri Mfumo wa taa (lighting system) Huu ni mfumo ambao upo katika gari. Mfumo huu huwa na sakiti mbali mbali za taa tofauti tofauti kwa ajili ya mwanga na maelekezo (indication) mbali mbali.Mfumo wa kuwasha gari (Starting circuit) Huu ni mfumo uliopo katik...
Gari ni chombo ambacho kinahusisha mifumo mbalimbali muhimu katika ufanikishaji wa kazi yake. Ni kama vile binadamu alivyo na mifumo katika mwili wake kwamfanokwabinadamukuna mifumo mingi kama vile Mfumo wa chakula, Mfumo wa damu, na mfumo wa utoaji taka mwilini. Hivyo kwa kuanza kuchambua mifumo mbali mbali kati gari, leo tuanze kuchambuamfumo wa upoozaji, kwa kiingereza unaitwa cooling system. Mfumo wa upoozaji ni mfumo muhimu sana katika gari kwasababu utendaji kazi wa injini katika hiyo gari unazalisha joto kila inapofanya kazi, hivyo yahitaji kupoozwa kwa wakati kuepusha madhara. Aina za mifumo ya upoozaji wa injini katika gari – Kuna aina mbili za upoozaji wa injini katika gari kama ifuatavyo: Upoozaji wa maji (water cooling system) Hii ni aina ya upoozaji wa injini kwa kutumia vifaa mbalimbali vinavyohusishwa katika mfumo wa upoozaji unaotumia maji. Katika mfumo huu umeundwa na vifaa vifuatavyo. REJETA Hiki ni kifaa muhimu katika mfumo wa upoozaji injini wa maji kinachotu...
Overdrive ni nini? Overdrive ni gia katika mfumo wa gari ambayo uifanya gari kuwa katika spidi kubwa huku mzunguko wa injini ukiwa mdogo. Kwa lugha rahisi, OD ni gia ya mwisho inayokupa mwendokasi ambayo inakupa mwendo uliotulia, wa kasi lakini kwa mzunguko mdogo wa injini (RPM). Hii hukuwezesha kuwa na matumizi madogo ya mafuta pengine kwa kasi zaidi. Over drive ni kama gia ya ziada itakayokupa mizunguko mingi ya driving shaft kwa mizunguko michache ya engine yako. Unapaswa kuitumia ukiwa unatembea na mwendo mkubwa. Faida zake utatumia mafuta kidogo mana gari inakwenda kasi kwa mizunguko michache ya engine. Mfano katka gari ya kawaida yani 180km/h ili ufikishe speed 120km/h basi rpm inaweza kua 4000rpm. Katka barabara tambarare. ila ukiweka over drive unaweza tembea speed hiyo hiyo kwa rpm 2000 katika barabara tambarare. Utajuaje kuwa Overdrive ipo On au Off? Pindi uonapo kitaa cha overdrive kwenye dashboard ya gari yako inamaanisha kuwa Overdrive ipo off na...
Comments
Post a Comment