UMEME WA MAGARI
Umeme wa magari ni umeme unaotumika katika gari lako. Kwenye magari kitu kinachofua au kuzalisha umeme ni betri (well cell). Ambacho ni kifaa kinachobadili chemical energy (nguvu ya madawa)ambazo zinaitwa electrolyte, hii electrolyte ni mchanganyiko kati ya distill water na surphuric na kuwa nishati ya umeme.System ya umeme katika gari Umeme unaanzia kwenye betri na kusambazwa katika mifumo tofauti ya umeme kwenye gari kama lighting system, ignition system, starting system, na charging system Mfumo wa kuchaji (Chaging system) Hii hufanywa na kifaa ambacho kinachozalisha umeme kwenye magari ambacho ni aotonetor ambayo ni AC generator. Pia mi kifaa kinachobadili nguvu ya mekanikali kuwa nishati ya umeme kwa lengo la kuchaji betri Mfumo wa taa (lighting system) Huu ni mfumo ambao upo katika gari. Mfumo huu huwa na sakiti mbali mbali za taa tofauti tofauti kwa ajili ya mwanga na maelekezo (indication) mbali mbali.Mfumo wa kuwasha gari (Starting circuit) Huu ni mfumo uliopo katika ga
Comments
Post a Comment