WHEEL AND TYRE
Wheel ni nini ? Huu ni muunganiko (combination) wa tire pamoja na rim. Katika saizi mbalimbali zitokanazo na ukubwa na aina ya gari. (Size hizi zinaendana na radias- kipenyo cha kati) Tyre ni nini? Hii ni raba pana yenye umbo la duara ambayo inawekwa juu ya rim kwa kawaida raba hii inapoambatanishwa pamoja na rim tunapata kitu kimoja amabacho ni wheel (gurudumu) Rim ni nini? Hiki ni kifaa chenye umbo la mduaraambacho kimeundwa eidha kwa alminiumalloy au chuma (cast iron). Faida na kazi za wheel (gurudumu ) Inafanikisha mwendo katika chombo husika, baada ya kukamilisha mzunguko wa gurudumu. Hii inajieleza yenyewe haihitaji uwe umeenda chuo cha VETA, fikiria kwamba unainjini yako , gear box , propeller, sheft, diferential alafu hauna magudumu je? Gari itajiongea kwenda uwelekeo wowote? Jibu ni hapana, hivyo gurudumu ni muhimu sana. Inab...